Mashabiki wa Yanga wakishangilia baada ya kushinda mbio za kumkamata kuku wakati wa bonanza liliwakutanisha mashabiki wa timu hiyo na mashabiki wa Simba bonanza hilo imeandaliwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager linaloendesha kampeni ya Nani Mtani Jembe, lililofanyika Dodoma hivi karibuni.
0 comments:
Post a Comment