![]() |
| Mshambuliaji wa Zanzibar Ally Badru alikosa bao la wazi leo |
![]() |
| Kiungo wa Zanzibar, Masoud Ally Mohamed akipasua katikati ya wachezaji wa Sudan Kusini |
![]() |
| Badru akimtoka Delfino |
![]() |
| Ally Badru akimtoka Richard Justin |
![]() |
| Kikosi cha Ethiopia kilichotoka sare ya bila kufungana na weyeji Kenya katika mchezo wa pili |
![]() |
| Kipa wa Ethiopia, Derete Alemu akidaka mbele ya mshambuliaji wa Kenya, Edwin Lavatsa |
![]() |
| Beki wa Ethiopia, Salahadin Bargicho akimgeuza beki wa Kenya, David Ochieng |
![]() |
| Francis Kahata wa Kenya akiambaa na mpira |
![]() |
| Moges Tedese wa Ethiopia akiondoka na mpira pembeni ya Wakenya |
![]() |
| Mashabiki wa Ethiopia |
![]() |
| Kikosi cha Kenya |
![]() |
| Yousuf Yassin akimgeuza James Situma wa Kenya |
![]() |
| Yousuf Yassin akimpiga tobo beki wa Kenya |
![]() |
| Shemeles Tegne akimtoka beki wa Kenya |
![]() |
| Wanajeshi wa Kenya wakiangalia mechi kati ya Harambee na Ethiopia |



















.png)
0 comments:
Post a Comment