KATIBU SIMBA SC ATUNUKIWA MASTERS YA BUSINESS ADMINISTRATION LEO
Katibu wa Simba SC, Evodius Mtawala kushoto akiwa na mkewe, Anna Sungwa kulia na mwanawe, Ethan alimpakata baada ya kutunukiwa Masters ya Business Administration Chuo Kikuu cha ESAMI Arusha leo.
0 comments:
Post a Comment