![]() |
Kipa wa Tusker, Samuel Odhambo akiokoa hatari langoni mwake dhidi ya mshambuliaji wa Ashanti |
![]() |
Mshambuliaji wa Ashanti United, Kassim Kilungo kushoto akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Tusker kulia |
![]() |
Mchezaji wa Tusker akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Ashanti, |
![]() |
Wachezaji wa Tusker kulia na wa Ashanti kushoto wakigombea mpira wa juu |
![]() |
Samuel Odhiambo aliinyima mabao Ashanti leo |
![]() |
Kiungo wa Ashanti, Malik Jaffar akiambaa kulia |
![]() |
Kikosi cha Ashanti leo |
![]() |
Benchi la Ufundi; Kutoka kulia kocha wa makipa, Mfaume Athumani, Kocha Msaidizi, Nico Kiondo na Kocha Mkuu Alhaj Abdallah Athumani Seif 'King Kibaden' |
0 comments:
Post a Comment