![]() |
| Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akiwatoka mabeki wa Mbeya City jana |
![]() |
| Gaudence Mwaikimba kulia akiwania mpira dhidi ya wachezaji wa Mbeya City |
![]() |
| Gaudence Mwaikimba akimiliki mbele ya wachezaji wa Mbeya City |
![]() |
| Gaudence Mwaikimba kulia akiwatoka wachezaji wa Mbeya City |
![]() |
| Mwenyekiti wa Azam FC kushoto, Sheikh Said Mohammed |
![]() |
| Katibu wa Azam FC, Nassor Idrissa 'Father' kulia akizungumza na Mzee Jamal Bakhresa kushoto wakati mechi ikikaribia kuanza |
![]() |
| Wachezaji wa Mbeya City wakimzonga refa Nathan Lazaro jana |
![]() |
| Mashabiki jukwaani wakiwa na miamvuli |
![]() |
| Kiungo wa Azam FC, Himid Mao akimtoka mchezaji wa Mbeya City |
![]() |
| Mabingwa; Kikosi cha Azam FC jana Uwanja wa Sokoine |
![]() |
| Kikosi cha Mbeya City ambacho kimejihakikishia nafasi ya tatu katika Ligi Kuu |
![]() |
| Mashabiki wakiwa Uwanja wa Sokoine jana. |















.png)
0 comments:
Post a Comment