![]() |
| Kevin Friday wa Tanzania akimuacha chini beki wa Kenya |
![]() |
| Wachezaji wa Tanzania wakishangilia baada ya mechi |
![]() |
| Ally Bilal wa Tanzania akimtoka Hillary Dan wa Kenya |
![]() |
| Mange Chagula wa Tanzania kushoto akigombea mpira na Hillary Dan wa Kenya aliye tayari kusaidiwa na wenzake |
![]() |
| Kipa wa Kenya, Farouk Shikhalo akidaka mpira huku akilindwa na beki wake, Hillary Dan aliye mbele ya Ally Bilal wa Tanzania |
![]() |
| Kevin Friday wa Tanzania kulia akimtoka Victor Ndinya wa Kenya |
![]() |
| Mange Chagula wa Tanzania akiteleza na mpira mbele ya Evans Makari wa Kenya |
![]() |
| Iddi Suleiman wa Tanzania akiwatoka mabeki wa Kenya |
![]() |
| Iddi Suleiman wa Tanzania akimuacha chini beki wa Kenya |
![]() |
| Benchi la Ufundi la Tanzania wakati wa penalti jana |













.png)
0 comments:
Post a Comment