![]() |
| Mwenyekiti wa Azam FC, Sheikh Said Mohammed katikati akiwa na Kombe |
![]() |
| Mjumbe wa Bodi ya Ukurugenzi ya Azam FC akiwa ameshika taji hilo na rafiki yake kulia |
![]() |
| Mjumbe wa Bodi ya Ukurugenzi, Omar Bakhresa akiwa ameshika Kombe |
![]() |
| Yussuf Bakhresa akiwa ameshika Kombe kwa pamoja na mwanawe na Mweka Hazina wa Azam FC, Karim Mapesa kushoto |
![]() |
| Watoto wa Wakurugenzi wakifurahia na Kombe |
![]() |
| Wachezaji wa Azam FC wakijiandaa kukabidhiwa Kombe |
![]() |
| Rais wa TFF, Jamal Malinzi akimvalisha Medali kocha wa Azam, Mcameroon, Joseph Marius Omog |
![]() |
| Malinzi akimvalisha Medali mtoto wa mshambuliaji wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba |
![]() |
| Mashabiki wakifurahia jana Uwanja wa Azam Complex |
![]() |
| Wadau mbalimbali wa Azam FC wakifurahia jana Uwanja wa Azam Complex |













.png)
0 comments:
Post a Comment