![]() |
| Wachezaji wa Simba SC wakimpongeza mfungaji wa bao lao la kuongoza, Haroun Chanongo aliyevua jezi huku akifuta machozi ya kilio cha furaha |
![]() |
| Mfungaji wa bao la kusawazisha la Yanga SC, Simon Msuva kushoto akishangilia na wenzake |
![]() |
| Beki wa Simba SC, Mganda Joseph Owino kushoto akipiga kichwa dhidi ya mshambuliaji wa Yanga SC, Didier Kavumbangu |
![]() |
| Kocha wa Simba SC, Mcroatia Zdravko Logarusic akitoa maelekezo kwa wachezaji wake |
![]() |
| Kocha wa Yanga SC, Mholanzi Hans van der Pluijm akiwatazama vijana wake |
![]() |
| Wachezaji wa Yanga SC baada ya kukabidhiwa Medali za ushindi wa pili Ligi Kuu iliyofikia tamati jana kwa Azam FC kutwaa ubingwa |
![]() |
| Simon Msuva akimtoka Amri Kiemba |
![]() |
| Hamisi Kiiza akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Simba SC, Nassor Masoud 'Chollo' |
![]() |
| Kikosi cha Yanga SC jana |
![]() |
| Kikosi cha Simba SC jana |













.png)
0 comments:
Post a Comment