• HABARI MPYA

    Saturday, April 12, 2014

    NYOTA BARCELONA WASAHAU SHIDA ZAO NA KUJIMWAGA KWENYE PATI LA FABREGAS


    Safarini: Pique (kulia) akiwa na mpenzi wake Shakira (kushoto) wakitabasamu kuelekea kwenye pati ya kuzaliwa ya Fabregas, siku chache baada ya Barcelona kutolewa na Atletico Madrid katika Ligi ya Mabingwa Ulaya
    Down time: Lionel Messi and his girlfriend Antonella Roccuzzo arrive at the party on Friday
    Nyota na kimwana: Lionel Messi na mpenzi wake Antonella Roccuzzo wakiwasili kwenye pati hiyo jana
    Hair down: Fabregas (right) and Sergio Busquets (left) fish something out of the water
    Maandaizi: Fabregas (kulia) na Sergio Busquets (kushoto) Arrival: Sergio Busquets turns up with his partner to the Fabregas bash
    Sergio Busquets akiwasili na mpenzi wake
    Celebrate: Midfielder Xavi with his partner at Fabregas' daughter's first birthday party
    Xavi na mpenzi wake Down and out: Barcelona were eliminated from the Champions League by Atletico Madrid in the week
    Nje ya michuano: Barcelona ilitolewa na Atletico Madrid wiki hii katika Ligi ya Mabingwa Ulaya
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NYOTA BARCELONA WASAHAU SHIDA ZAO NA KUJIMWAGA KWENYE PATI LA FABREGAS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top