• HABARI MPYA

    Saturday, July 19, 2014

    KIFAA CHA BURUNDI 'TAYARI TAYARI' KUMWAGA WINO SIMBA SC

    Kiungo wa kimataifa wa Burundi, Perre Kwizera akiwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba SC, Iddi Kajuna baada ya kuwasili Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam usiku wa jana. Mchezaji huyo kitoka Afad Abidjan ya Ivory Coast amekjja kufanya mazungmzo ya kujiunga na mabingwa hao wa zamani nchini.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KIFAA CHA BURUNDI 'TAYARI TAYARI' KUMWAGA WINO SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top