• HABARI MPYA

    Saturday, August 23, 2014

    NUSU FAINALI KAGAME KATIKA PICHA JANA NYAMIRAMBO

    Wachezaji wa Polisi (kushoto) na APR kulia wakimenyana katika Nusu Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame Uwanja wa Nyamirambo, Kigali, Rwanda jana. APR ilishinda kwa penalti 4-2 kufuatia sare ya bila kufungana ndania ya dakika 120.
    Mfungaji wa penalti ya mwisho ya APR, Jeann Baptiste Mugiraneza kulia akifurahia na kipa wake

    Wachezaji wa El Merreikh ya Sudan kushoto na KCC ya Uganda kulia katika Nusu Fainali ya kwanza jana. Merreikh ilishinda kwa penalti 3-0 kufuatia sare ya 2-2 ndani ya dakika 120
    Wachezaji wa APR na Polisi wakipambana jana

    Wachezaji wa Merreikh wakimpongeza kipa wao Magoola Salim baada ya kuokoa penalti mbili jana

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NUSU FAINALI KAGAME KATIKA PICHA JANA NYAMIRAMBO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top