• HABARI MPYA

    Saturday, September 13, 2014

    ALAN PARDEW MAISHA MAGUMU NEWCASTLE, LEO ALITAMANI ARDHI IPASUKE...



    Kocha wa Newcastle United, Alan Pardew (kulia) akijipangusa mkono wake usoni leo baada ya timu yake kuchapwa mabao 4-0 na Southampton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England.
    Mashabiki wa Newcastle United wakiwa na bang la kushinikiza kocha afukuze 'SackPardew.com' 
    Newcastle United fans hold up a banner with the words 'Pardew is a muppet' during their side's 3-0 defeat against Southampton at St Mary's Stadium on Saturday
    Mashabiki wa Newcastle United wakiwa bango la kumkejeli kocha huyo 'Pardew is a muppet' 
    Newcastle United fans show their anger and shout abuse at their beleaguered boss Alan Pardew during their side's 4-0 defeat against Southampton at St Mary's Stadium
    Mashabiki wa Newcastle United wakimtolea mane no makali Alan Pardew Uwanja wa St Mary's leo
    Newcastle United fans make their feelings clear with a 'Pardew Out' banner in the away end at St Mary's Stadium during the Magpie's 3-0 loss to Southampton
    Mashabiki wa Newcastle United wakiwa na bango la kutaka kocha huyo afukuzwe 'Pardew Out' 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ALAN PARDEW MAISHA MAGUMU NEWCASTLE, LEO ALITAMANI ARDHI IPASUKE... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top