RONALDO AENDELEZA TABIA YAKE YA KUFUNGA TU, APIGA MOJA REAL IKISHINDA 2-0 LA LIGA
Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia timu yake katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Villarreal katika La Liga leo. Bao lingine la Real lilifungwa la Liuka Modric.
0 comments:
Post a Comment