![]() |
| Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi kushoto akimtoka beki wa Coastal, Mbwana Hamisi 'Kibacha' |
![]() |
| Kiungo wa Simba SC, Ramadhani Singano 'Messi' akitafuta njia za kumtoroka Abdallah Mfuko wa Coasral |
![]() |
| Kiungo wa Coastal, Razack Khalfan kulia akimtoka Shaaban Kisiga 'Malone' wa Simba |
![]() |
| Haroun Chanongo wa Simba SC, akitafuta mbinu za kumtoka Abdallah Mfuko wa Coastal |
![]() |
| Amsi Tambwe wa Simba SC, akitafjta maarifa ya kumpita Abdallah Mfuko wa Coastal |
![]() |
| Abdallah Mfuko wa Coastal akiwa ameruka juu kuondosha mpira kwenye hatari dhidi ya Ramadhni Singano 'Messi' wa Simba |
![]() |
| Paul Kiongera wa Simba SC akienda chini baada ya kugombea mpira na Abdallah Mfuko |










.png)
0 comments:
Post a Comment