![]() |
Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akimtoka beki wa Prisons, Jacob Mwakalobo |
![]() |
Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima kulia akimtoka beki wa Prisons, Freddy Chudu |
![]() |
Beki wa Yanga SC, Edward Charles kulia akimtoka beki wa Prisons, Julius Kwangwa |
![]() |
Simon Msuva akimtoka beki wa Prisons |
![]() |
Kiungo Mbrazil wa Yanga SC, Andrey Coutinho akipasua katikati ya wachezaji wa Prisons |
![]() |
Beki wa Prisons, Nurdin Chona akimdhibiti mshambuliaji wa Yanga SC, Mbrazil Genilson Santana Santos 'Jaja' |
![]() |
Mshambuliaji wa Yanga SC, Genilson Santana Santos 'Jaja' akiruka kwanja la beki wa Prisons |
0 comments:
Post a Comment