PETER CROUCH AING'ARISHA STOKE CITY, NEWCASTLE CHALI TENA
Mshambuliaji wa Stoke City, Peter Crouch akiwa hewani kupiga kichwa kuifungia timu yake bao pekee la ushindi katika mchezo dhidi ya Newcastle United jana Uwanja wa Britania. Chini Crouch akishangilia bao lake hilo.
0 comments:
Post a Comment