• HABARI MPYA

    Saturday, November 08, 2014

    AKINA WANYAMA WAUA 2-0 ENGLAND


    Kiungo Mkenya wa Southampton, Victor Wanyama (juu) akipiga kichwa mpira katika mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Leicester City usiku wa leo Uwanja wa St Mary's. Akina Wanyama wameshinda 2-0, mabao yao yote byakifungwa na Shane Long dakika ya 75 na 80.

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2826307/Southampton-2-0-Leicester-Shane-Long-s-second-half-double-sees-Saints-close-gap-league-leaders-Chelsea-four-points.html#ixzz3IVg4p2hP 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AKINA WANYAMA WAUA 2-0 ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top