• HABARI MPYA

    Sunday, November 09, 2014

    KOVALEV AMSHINDA KWA POINTI 'BABU' HOPKINS


    Bondia Mrusi, Sergey Kovalev akimpeleka chini kwa konde mkongwe Bernard Hopkins mwenye umri wa miaka 49, katika Raundi ya kwanza, katika pambano la uzito wa juu usiku wa kuamkia leo ukumbi wa Boardwalk mjini Atlantic City. Kovalev alishinda kwa pointi pambano hilo la raundi 12 na kuunganisha mataji matatu.

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/boxing/article-2827165/Sergey-Kovalev-beats-Bernard-Hopkins-dominant-performance-unify-world-titles.html#ixzz3IYylafTF 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KOVALEV AMSHINDA KWA POINTI 'BABU' HOPKINS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top