• HABARI MPYA

    Tuesday, November 11, 2014

    ROONEY ARUDI SHULE YA KWANZA KABISA ALIYOSOMEA NA KUJUMUIKA NA WATOTO

    Nahodha wa England, Wayne Rooney alitembelea shule ya kwanza aliyowahi kusoma, Our Lady and St Swithin's Catholic School mjini Liverpool kuelekea kucheza mechi yake ya 100 timu ya taifa ya England Jumamosi. Rooney alijimuika na watoto na kupiga nao picha pamoja na kuwasainia jezi za timu ya taifa. 

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2829139/Wayne-Rooney-school-ahead-winning-100th-England-cap-thrilled-him.html#ixzz3Ij2xPQvm 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ROONEY ARUDI SHULE YA KWANZA KABISA ALIYOSOMEA NA KUJUMUIKA NA WATOTO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top