• HABARI MPYA

    Thursday, November 13, 2014

    TAMBWE, KWIZERA, OKWI NA OWINO WAREJEA MAKWAO

    Wachezaji wa kigeni wa Simba SC, kutoka kulia Nahodha Joseph Owino, Emmanuel Okwi wote wa Uganda nwa Pierre Kwizera na Amisi Tambwe wote wa Burundi wakiwa katika picha ya pamoja Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam leo kabla ya kusafiri kwenda nyumbani kwa mapumziko mafupi, kufuatia Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kusimama hadi mwishoni mwa mwezi ujao. Wachezaji hao wamepewa likizo ya wiki moja.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TAMBWE, KWIZERA, OKWI NA OWINO WAREJEA MAKWAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top