Shabiki wa Azam FC kulia akifurahia kadi yake ya unachama baada ya kukabidhiwa jana katika sherehe za uzinduzi wa kadi hizo jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Mgeni rasmi alikuwa Naibu Waziri wa Habari, Utramaduni na Michezo Alhaj Juma Nkamia.
0 comments:
Post a Comment