CHEKA KUZIPIGA NA KING CLASS MAWE FEBRUARI 28 MANZESE
Mabondia Cossmas Cheka (kushoto) na Ibrahim Class 'King Class Mawe' wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa kuwania ubingwa wa UBO Afrika uzito wa Feather utakaofanyika Februari 28, mwakani katika ukumbi wa Frends Corner, Manzese, Dar es Salaam. Katikati ni Mratibu wa pambano hilo, Anthony Rutta.
0 comments:
Post a Comment