Kipa wa Simba B, Dennis Richard jana aliidakia Simba A jana katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Taifa ya Jang'ombe Uwanja wa Amaan, Zanzibar na kuvutia mashabiki, Wekundu wa Msimbazi wakishinda 3-1. Dan Sserunkuma alifunga mabao mawili na moja Mohammed Hussein 'Tshabalala'. Kwa sasa Simba A ina makipa wawili, Ivo Mapunda na Peter Manyika, wakati Hussein Sharrif 'Casillas' ni majeruhi, hivyo Dennis amepandishwa timu A. |
0 comments:
Post a Comment