![]() |
| Beki wa Yanga SC, Edward Charles akijaribu kuupitia mpira miguuni mwa winga wa Azam FC, Brian Majwega |
![]() |
| Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akimiliki mpira mbele ya beki wa Azam FC, Shomary Kapombe |
![]() |
| Beki wa Yanga SC, Mbuyu Twite akimiliki mpira mbele ya beki wa Azam FC, Shomary Kapombe |
![]() |
| Mshambuliaji wa Yanga SC, Amisi Tambwe akimiliki mpira mbele ya beki wa Azam FC, Erasto Nyoni |
![]() |
| Kipa wa Yanga SC, Deo Munishi 'Dida' akiwa ameenda hewani kuokoa m,pira wa juu dhidi ya Didier Kavumbangu wa Azam FC |
![]() |
| Kiungo wa Azam FC, Mudathir Yahya akipasua katikati ya wacheaji wa Yanga SC |










.png)
0 comments:
Post a Comment