![]() |
| Kocha Msaidizi, Mganda George 'Best' Nsimbe kushoto akiwa na Mtendaji Mkuu, Saad Kawemba katika hafla hiyo ya sikukuu ya Krisimasi |
![]() |
| Beki Serge Wawa Pascla kutoka Ivory Coast akijipakulia chakula |
![]() |
| Winga Mganda, Brian Majwega kulia na kiungo mzalendo Salum Abubakar 'Sure Boy' kushoto |
![]() |
| Kutoka kulia Shomary Kapombe, Gardiel Michael wote mabeki wa pembeni na kipa Aishi Manula |
![]() |
| Frank Domayo kulia akiwa na Joseph Kimwaga |
![]() |
| Mshambuliaji John Bocco 'Adebayor' akipakua chakula |
![]() |
| Mshambuliaji Kipre Tchetche akiondoka kwenye meza baada ya kujipimia kiasi chake |










.png)
0 comments:
Post a Comment