Mwanzo > HABARI PICHA > SARE HIVI, JE WANGEFUNGWA? HABARI PICHA SARE HIVI, JE WANGEFUNGWA? Shabiki wa Yanga SC akiwa mpole baada ya John Bocco kuisawazishia Azam FC bao na kufanya mchexo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo umalizike kwa sare ya 2-2 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Sunday, December 28, 2014 HABARI PICHA
0 comments:
Post a Comment