![]() |
Mshambuliaji wa Yanga SCm Kpah SHerman akimtoka beki wa Simba SC, Juuko Murushid katika mchezo wa Nani Mtani Jembe jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 2-0. |
![]() |
Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi kulia akimtoka beki wa Yanga SC, Juma Abdul |
![]() |
Kpah Sherman akipasua katikati ya Awadh Juma kulshoto na Ramadhan Singano 'Messi' kulia |
![]() |
Kpah Sherman akipasua katikati ya Hassan Isihaka kulia na Singano kushoto |
![]() |
Kiungo wa Yanga SC, Emerson de Oliviera Roque katikati akimiliki mpira pembeni ya kiungo wa Simba Ramadhani Singano 'Messi' |
![]() |
Wachezaji wa Simba na Yanga walisukumana mwanzoni tu mwa mchezo baada ya Emmanuel Okwi kuanguka |
![]() |
Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima akipambana na beki wa Simba SC, Juuko Murshid |
![]() |
Viungo Awadh Juma wa Simba SC kulia na Emerson Roque wa Yanga SC wakichuana kuwania mpira wa juu |
0 comments:
Post a Comment