Kipa wa Bayern Munich, Manuel Neuer akimuangusha mshambuliaji wa Porto, Jackson Martinez na kusababisha penalti dakika ya tatu, ambayo ilitiwa kimiani na Ricardo Quaresma. Porto ilishinda 3-1 Uwanja wa Dragao mjini Porto, Ureno mabao yake mengine yakifungwa na Quaresma tena na Jackson Martinez wakati la Bayern Munich la kufutia machozi lilifungwa na Thiago Alcantara.
PICHA ZAIDI NENDA:
http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3040483/Porto-3-1-Bayern-Munich-Ricardo-Quaresma-scores-early-double-Jackson-Martinez-pounces.html#ixzz3XPpDsGf7


.png)
0 comments:
Post a Comment