Beki wa zamani wa Arsenal, Sol Campbell akiwa amejipaka rangi usoni aonekane kama Mzungu katika kampeni maalum ya kuwahamasisha Waingereza Weusi kujiandikisha kupiga kura katika uchaguzi Mkuu wa ujao
Nahodha huyo wa zamani wa Three Lions, Campbell aliichezea mechi 73 England, akiifungia bao moja katika miaka zaidi ya tisa
Wanamuziki David Harewood na Tinie Tempa pia wameshiriki kampeni hiyo
Nyota wa zamani wa Olimpiki ya walemavu, maarufu kama Paralimpiki ambaye kwa sasa ni mtangazaji wa Televisheni Ade Adepitan pia ameshiriki kampeni hiyo


.png)
0 comments:
Post a Comment