• HABARI MPYA

    Saturday, September 19, 2015

    SAKHO ASAINI MKATABA MPYA MREFU LIVERPOOL NA MSHAHARA MNONO

    Beki Mfaransa, Mamadou Sakho akisaini Mkataba mpya wa muda mrefu kuendelea kuichezea Liverpool, ambao sasa utamfanye alipwe kiasi cha Pauni 100,000 kwa wiki PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SAKHO ASAINI MKATABA MPYA MREFU LIVERPOOL NA MSHAHARA MNONO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top