Kiungo wa Chelsea, Pedro (katikati) akiinua mguu kupiga mpira dhidi ya wachezaji wa Newcastle katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Jumamosi Uwanja wa St James Park. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2, mabao ya Newcastle yakifungwa na Ayoze Perez na Georginio Wijnaldum, wakati ya Chelsea yalifungwa na Ramires na Willian PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Visually impaired bowler says the sport saved him
-
Ron Homer began playing the game after losing his sight, job, and driving
licence in his mid-40s.
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment