NIYONZIMA ALIVYOAMUA PAMBANO LA 'KAVU KAVU' LA KASEKE NA MAJABVI JUMAMOSI TAIFA
Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima (kulia) akimzuia kiungo wa Simba SC, Justice Majabvi asipigane na kiungo wa Yanga pia, Deus Kaseke katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga SC ilishinda 2-0
Tukio hilo lilianzia katika kugombea mpira wa kurusha na ilikuwa kama Kaseke anapoteza muda, hivyo Majabvi akaenda kuuchukua ili mchezo uendelee wajaribukusawazisha mabao ya Amissi Tambwe na Malimi Busungu Kaseka na Majabvi wakigombea mpira kabla ya kutaka kupigana
ADC says House member Leke Abejide not suspended
-
From Emmanuel Adeyemi, Lokoja The African Democratic Congress, Kogi State
chapter, has said that the Member of the House of Representatives for Yagba
Fed...
0 comments:
Post a Comment