Nyota wa Barcelona, Lionel Messi akionekana mnyonge baada ya timu yake kufungwa na Celta Vigo mabao 4-1 jana usiku mjini Vigo katika mchezo wa La Liga. Mabao ya Celta Vigo yalifungwa na Iago Aspas aliyetemwa Liverpool mawili, Nolito na John Guidetti wakati bao pekee la Barca lilifungwa na Neymar PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Storm Floris map shows where heavy rain and up to 85mph winds are set to
hit the UK
-
Yellow weather warnings for wind have been issued across most of the country
6 minutes ago
0 comments:
Post a Comment