HANS POPPE, MAGORI KATIKA 'POZI LA KICHAPO' CHA YANGA TAIFA
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe (katikati) akiwa na vigogo wengine wa Simba SC, Salim Abdallah 'Try Again' (kulia) na Crescentius Magori (kushoto) Jumamosi wakati wa mchezo dhidi ya Yanga Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Yanga SC ilishinda 2-0
0 comments:
Post a Comment