VIGUMU KUAMINI, LAKINI HUO NDIYO UKWELI...WANGA, KAVUMBANGU, MESSI WOTE 'WANACHOMA MAHINDI' AZAM FC
Wachezaji wa akiba wa Azam FC, kutoka kulia Mrundi Didier Kavumbangu, Ramadhani Singano 'Messi', Erasto Nyoni, Mkenya Alan Wanga na Himid Mao. Chini ni kipa Mwadini Ally katika mchezo dhidi ya Mbeya City Jumapili Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
Item Reviewed: VIGUMU KUAMINI, LAKINI HUO NDIYO UKWELI...WANGA, KAVUMBANGU, MESSI WOTE 'WANACHOMA MAHINDI' AZAM FC
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment