Marco Verratti akishangilia baada ya kuifungia Italia bao la ushindi dakika ya 86 ikitoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Bosnia kwenye mchezo wa Kundi J kufuzu Euro 2020 Uwanja wa Allianz mjini Torino. Bosnia walitangulia kwa bao la E. Džeko dakika ya 32 kabla ya L. Insigne kuisawazishia Italia dakika ya 49 na kwa ushindi huo kikosi cha Roberto Mancini kinafikisha pointi 12 katika mchezo wa nne na kuendelea kuongoza kundi hilo ikiizidi pointi tatu Finland inayofuatia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Jake Paul's fight with Gervonta 'Tank' Davis cancelled amid domestic 
violence lawsuit
                      -
                    
Paul's 'Most Valuable Promotions' confirmed on Monday night that they are 
instead planning for the YouTuber-turned-boxer to headline another event on 
Nextf...
23 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment