Kylian Mbappe akifunga bao lake la 100 dakika ya 11 kuipatia Ufaransa bao la kwanza katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Andorra Jumanne kwenye mchezo wa Kundi H kufuzu Euro 2020 Uwanja wa Taifa mjini Andorra la Vella. Mabao mengine ya Ufaransa yalifungwa na Wissam Ben Yedder dakika ya 30, Florian Thauvin dakika ya 45 na ushei na Kurt Zouma dakika ya 60 na kwa ushindi huo Les Bleus wanafikisha pointi tisa sawa na Uturuki na Iceland baada ya wote kucheza mechi nne, wakifuatiwa na Albani pointi sita, Moldova pointi tatu na Andorra 0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Storm Floris map shows where heavy rain and up to 85mph winds are set to
hit the UK
-
Yellow weather warnings for wind have been issued across most of the country
8 minutes ago
0 comments:
Post a Comment