Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Ubelgiji dakika za 45 na ushei na 57 ikiichapa 3-0 Scotland kwenye mchezo wa Kundi I kufuzu Euro 2020 Uwanja wa Roi Baudouin mjini Brussels. Bao lingine lilifungwa na Kevin De Bruyne dakika ya 90 na ushei na kwa ushindi huo Ubelgiji inafikisha pointi 12 baada ya kucheza mechi nne ikiendelea kuongoza kundi hllo ikifuatiwa na Urusi yenye pointi tisa, Kazakhstan pointi sita sawa na Scotland, Cyprus pointi tatu na San Marino ambayo haina pointi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
NFL star Deebo Samuel left fuming after interviewer spills secret live on
air in painful exchange
-
NFL Network's Garafolo was left red-faced at the end of an interview with
Samuel on 'Inside Training Camp Live' earlier this week. 'Alright, edit
that part...
37 minutes ago
0 comments:
Post a Comment