Nahodha Sergio Ramos akibusu nembo ya jezi wakati akishangilia baada ya kuifungia Hispania bao la kwanza kwa penalti dakika ya 64 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Sweden kwenye mchezo wa Kundi F kufuzu Euro 2020 Uwanja wa Bernabeu mjini Madrid. Mabao mengine ya Hispania yamefungwa na Álvaro Morata kwa penalti pia dakika ya 85 na Mikel Oyarzabal dakika ya 87 na kwa ushindi huo wanaendelea kuongoza wakifikisha pointi 12 katika mchezo wa nne, wakifuatiwa na Romania na Sweden zenye pointi saba kila moja baada ya kucheza mechi nne pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
Who do fans think is the key player in each Premier League team?
                      -
                    
From the "soul of the team" to an "absolute warrior", here are the Premier 
League's 20 key players, as chosen by our fan writers.
40 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment