Tyson Fury akishangilia baada ya kumshinda kwa Technical Knockout (TKO) raundi ya pili Mjerumani, Tom Schwarz katika pambano la uzito wa juu ngumi za kulipwa Alfajiri ya Jumapili ukumbi wa MGM Grand Arena mjini Las Vegas, Marekani. Baada ya ushindi huo, Tyson Fury maarufu kama Gypsy King atakuwa na pambano lingine mjini Las Vegas Septemba au Oktoba kabla ya kurudiana na Deontay Wilder mwaka mpya PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
23 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment