CAF YAIFUTA MICHUANO YA FAINALI ZA AFCON ZILIZOPANGWA KUANZA JUMAMOSI
SHIRIKISHO la Soka Afrika CAF limezifuta Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Vijana chini ya umri wa miaka 17, AFCON U17 2021 zilizopangwa kuanza Machi 13 hadi 30 nchini Morocco.
0 comments:
Post a Comment