WACHEZAJI WA AZAM FC WANAVYOENDELEA KUJIFUA KUJIWEKA SAWA KUIVAA MTIBWA SUGAR APRILI 6 CHAMAZI
Abdalllah Kheri (kushoto) akimdhibiti beki mwenzake, Mzimbabwe Bruce Kangwa katika mazoezi ya timu hiyo kujiandaa na mechi yao ijayo ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara Aprili 6 dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam
Item Reviewed: WACHEZAJI WA AZAM FC WANAVYOENDELEA KUJIFUA KUJIWEKA SAWA KUIVAA MTIBWA SUGAR APRILI 6 CHAMAZI
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment