SIMBA SC YAITANGAZA KAMPUNI YA VUNJA BEI MSHINDI WA TENDA YA KUUZA JEZI ZA KLABU HIYO
MABINGWA wa Tanzania, Simba SC wameitangaza Kampuni ya Vunja Bei kuwa mshindi wa tenda ya kuuza jezi za klabu hiyo. Vunjabei imesema itatengeneza vitu vingi kama jezi, fulana, kava za simu, miwani, saa, kofia, soksi, viatu, mabegi na vitu vingi vyenye nembo ya Simba.
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment