YANGA SC YAINGIA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO NA KLABU YA RAJA CASABLANCA YA MOROCCO
KLABU ya Yanga leo imeingia makubaliano ya ushirikiano na Klabu ya Raja Club Athletic ya Morocco, maarufu Raja Casablanca. Ushirikiano huo utahusisha masuala mbalimbali ya maendeleo baina ya klabu hizo mbili zenye historia kubwa barani Afrika.
SGF, lawmaker back president’s second term
-
From Godwin Tsa, Abuja The Secretary to the Government of the Federation
(SGF) Senator George Akume, has called on the people state to support
President ...
0 comments:
Post a Comment