Ni muda wa kuvimba na @AzamPesa, huduma mpya ya kifedha nchini Tanzania. Weka, tuma, pokea na toa pesa, fanya malipo ya bidhaa & bili. Wahi kujisajili kwa wakala wetu ukiwa na vitu vitatu tu; 1. Simu📱 2. NIDA 💳 3. Dole gumba 👍🏾 @azampesa @azampesa @azampesa #AzamPesa #HudumazaKifalme #BeizaKizawa
0 comments:
Post a Comment