MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB), Almasi Kasongo (kushoto) akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya ukocha Kozi ya Diploma D, kiungo wa zamani wa Kimataifa nchini, Athumani Iddi ’Chuji’ wakati wa kufunga kozi hiyo leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment