Mwanzo > YANGA > MUITE HAJI OLE SUNDAY MANARA WA YANGA HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA MUITE HAJI OLE SUNDAY MANARA WA YANGA MSEMAJI wa klabu ya Yanga, Haji Sunday Manara leo ameibuka kwenye mkutano na Waandishi wa Habari akiwa kavaa vazi la Kimasai na kusema kuanzia sasa ataitwa Haji Ole Sunday Manara. Monday, April 25, 2022 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA
0 comments:
Post a Comment