BEKI wa kati wa Yanga SC, Bakari Nondo Mwamnyeto amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kufanya kazi Jangwani. Mwamnyeto alijiunga na Yanga Julai mwaka 2020 kutoka Coastal Union ya Tanga na amekuwa na misimu miwili mizuri ya awali hadi kupewa Unahodha wa timu.
Anthony Joshua’s fight in Nigeria pegged for 2026
-
Former world boxing heavyweight champion, Anthony Joshua’s career-long
dream to host a match in Nigeria is closer to reality as boxing promoter
Ezekiel A...
0 comments:
Post a Comment