KLABU ya Azam FC imemtangaza Hasheem Ibwe kuwa Kaimu Afisa Habari wake kuanzia leo, Oktoba 18, 22, hadi hapo itakapotangazwa vinginevyo. Hasheem Ibwe anachukua nafasi hiyo kipindi hiki ambacho, Afisa Habari wa Azam FC, Thabit Zakaria ‘Zaka Zakazi’ anatumikia adhabu ya kufungiwa na Bodi y Ligi.
0 comments:
Post a Comment