Mwanzo > LIGI KUU BARA > WACHEZAJI WATATU WA COASTAL WAAHIRISHA MECHI LIGI KUU COASTAL UNION HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA WACHEZAJI WATATU WA COASTAL WAAHIRISHA MECHI LIGI KUU BODI ya Ligi imeahirisha mechi mbili za Ligi Kuu za Coastal Union kwa sababu wachezaji watatu wa timu hiyo wamejumuishwa kwenye timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 23. Saturday, October 15, 2022 COASTAL UNION HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA
0 comments:
Post a Comment